Wewe si ulikimbia nyumbani?
Kwani huyo ndo baba yako mkubwa? Maana mi simjui
Alisema Lyon Lee sio Lee Empire. Sasa anakuaje baba yako mkubwa?
Mama unajua mi mtoto wa kiume mi siwezi kuona dingi anadhalilika wakati nipo jembe lakeAlisema Lyon Lee sio Lee Empire. Sasa anakuaje baba yako mkubwa?
Kwani dingi mkubwa alienda wapi?Kajikana mwenyewe. Mi simtambui. Labda ni ndugu yake baba yako mkubwa ambaye sijawahi muona!
Niliambiwa kuwa Lyon Lee sio Lee Empire, bali ni mdogo wake. Ulitaka mimi nifanyeje? Muulize huyo huyo akueleze baba yako mkubwa yukwapi. Mimi sina idea, nimetelekezwa sijui alipo.Kwani dingi mkubwa alienda wapi?
Usimkane yule ulie nitambulisha
Na mkasaidiana na kunitimua hapo nyumbani
Alisema Lyon Lee sio Lee Empire. Sasa anakuaje baba yako mkubwa?
Aaah Mamkubwa acha hizo punguza hasira kidogo nikuambie kituNiliambiwa kuwa Lyon Lee sio Lee Empire, bali ni mdogo wake. Ulitaka mimi nifanyeje? Muulize huyo huyo akueleze baba yako mkubwa yukwapi. Mimi sina idea, nimetelekezwa sijui alipo.
Umekanwa huko hebu tengeneza kwanza kwa Mamkubwa ndo nije hukoKaribu mwanangu
Kwani dingi mkubwa alienda wapi?
Usimkane yule ulie nitambulisha
Na mkasaidiana na kunitimua hapo nyumbani
Hapana mlinitimua ili mchukue kwanza zile Mali kumbe na wewe ulivyo chukua Mali ukamtelekezaulijitimuaa baada ya kupata lijimama
Ma nkubwa hasikupe shidaaUmekanwa huko hebu tengeneza kwanza kwa Mamkubwa ndo nije huko
Mweh, msinichanganye mie!kwa sasa n yeye
Aaah Mamkubwa acha hizo punguza hasira kidogo nikuambie kitu
Wee litoto umetumwa na ma nkubwaaHapana mlinitimua ili mchukue kwanza zile Mali kumbe na wewe ulivyo chukua Mali ukamtelekeza