Makapuku Forum

respect kwakee

Alikuwa ni hatari sanaa,
Warusi pale Moscow State University walikuwa wanamtumia sana kuwaletea vitu kutoka nje ya nchi.
Alikuwa anawapelekea Jeans za nje halafu wao wanaweza kumpa hata friji wazee tunakula bata tu.....
Yaani alivyofariki lilikuwa pigo kubwa sanaa kwenye familia yetu; Alikuwa ni moja ya wasomi wa kwanza kabisa TZ
 
Acha kudanganya watu
 
Daaah pole sanna ...R.I.P
 
Poleni mnooo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…