Makapuku Forum

Ya nini nifake jaman na kila kitu kinajulikana mwanamke mzuri anahitaji matunzo me navaa nywele ya laki 3 Brazilian hiyo nywele tu sasa unataka kunikula bureee
Nataka nijiongeze mwenyewe, Yaani kibla ntaangalia mwenyewe! Coz nywele za laki3 sio lazima useme, zinaonekana kwa macho!

Mi yale mambo unakuja na Bajaj ya 1500 lkn Unataka nikupe Lita 100 za Prado siyawezi!
 

Hahahahaha,
Nakumbuka nimetua Iringa 2014-15 kwenye mikakati ya Uchaguzi nilitafutwa sana na Makada.
Nilipelekwa sana mahotelini kula Lunch na kuhongwa mapesaaa, nasubiria tena 2019 na 2020.
Hivi kipindi kile nakuja hapa usiku sana ulitegemea nilikuwa nakuwa wapi sasa ???

Juzi kati hapa nimeenda Bombo Kumcheki dogolasi eti wamemseti naye agombee Ubunge, nikamsikiliza tu!
Nilivyorudi home nilificha hati zote za nyumba na mashamba ya Bibi maana naona Betting hii inamliza Bibi hapa hapa!

Halafu ID gani hiyo ?? Ninong'oneze basi........
Teh teh teh teh 😀😀😀😀
 
I'd ile uni niniiii sijui
nilikukuta sehemu na espy
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…