Huhuuuuu.. Mm nimeokoka bana hafu madem hawajaniacha nimewaacha mie..Nyangauuu wewee...kujifanyaa le pedeshe kumbe hamna lolote
Baada ya madem kukuachaa umeamua umrudiee muumba au ni swaga
Hapana huyu rfk angu tu kama shunieUshapindua pinduaa na huyo?
Unamdai nnMwambie aje anilipew denii languu
Ushaonjeshwaa utamu wa yesu?Huhuuuuu.. Mm nimeokoka bana hafu madem hawajaniacha nimewaacha mie..
Now nipo kwa Yesuu
Money pesaaUnamdai nn
Swali lako gumu sanaa...Ushaonjeshwaa utamu wa yesu?
T wapi yupoMoney pesaa
Umenikumbushaa jamaa langu la faidaT wapi yupo
Naaam mungu mkubwa u mzimaaa?Kaka ake
Asante Obe ni habari njemaYeah, wanaimba vizuri sana na ujue nini, hii ni tuzo yao ya tano ya Grammy. Kingine kama ulikuwa hujafuatilia Zack Williams naye katwaa Grammy kwa muziki bora wa Gospel.
Wimbo huu niliwahi kuueleta humu
Marahaba mwanangu za uzima vipi afya yako vidonda vilipona kabisa.?Heshimaa yako mamaaamchuchuu...
Shikamoo...
Mungu mwema vidonda vilipona mwez wa tatu sasa sijasikia chochote...Marahaba mwanangu za uzima vipi afya yako vidonda vilipona kabisa.?
Asante mkuu binamu shikamooTafasiri Unavyoweza: Ushawishi, Jiongeze
Jiongeze, hili ni neno/kitenzi kinachomaanisha upe kazi ubongo wako. Na kazi ya ubongo ni kufikiria, kupambanua na kukusaidia ufanye maamuzi.
Tunashawishiwa kila siku, kila saa, ukitizama luninga, ukisikiza radio, ukisoma magazeti yote haya yapo sio kukuhabarisha tu bali kukushawishi juu ya jambo fulani. Unakutana na mmachinga, afisa masoko na mwanasiasa would wanapanga kukushawishi ufanye wanachotaka. Mwanaume au mwanamke akikutaka kimapenzi ya muda mrefu au mfupi, atakushawishi. Tafasiri Unavyoweza.
Zipo njia kadhaa za kushawishi, angalia matangazo ya sigara na pombe. Unashawishiwa. Angalia matangazo ya forex/kamari/kubet, unashawishiwa maana wewe ni fursa, Jiongeze.
Tafasiri Unavyoweza, ushawishi una sababu na wewe timamu Jiongeze, kipe kichwa chako kazi ya kufanya, kufikiri. Ukifanywa fursa hakikisha kuna hamsini kwako hamsini kwake, usiwe 0-100
Kwema habari ya weweRafki kwema???