Unataka nini kwa mfano
Anko mbona hivo mengine siriii yetuuuu..sio penati tu mjomba watu wamepaki treni kabisa
..oh, kwanza mnaongelea mambo gani unayoyamisi kwake...nisijekuwa nimepitwa na ishu za forex
Mmh ebu ongea vizuri nielewe
Yale matamu uyapendayoooo
..sio penati tu mjomba watu wamepaki treni kabisa
..oh, kwanza mnaongelea mambo gani unayoyamisi kwake...nisijekuwa nimepitwa na ishu za forex
Kubana kuanzia jioni akirudi au na week end mambo gani hayo jaman unayokosa
Khaaaa kwahiyo hulitakii jf si wamesema tuitane mkuu ahahhah nimekumbuka kitu kipindinikigombana na Lee tukiwa humu kapuku hatuongei anavumilia anashindwa ananiambia ninavyoona kuitana mkuu ndio inayofatia jaman
Anko mbona hivo mengine siriii yetuuuu
Na kweli wanapakiii tren kabisa tena linalowashwa kwa mkaa
Unatakaa anko ajueee...machomaaaaaaaMmh ebu ongea vizuri nielewe
Na jeans na kufuli kabisa...huwa unabana na jeans?
Khaaaa kwahiyo hulitakii jf si wamesema tuitane mkuu ahahhah nimekumbuka kitu kipindinikigombana na Lee tukiwa humu kapuku hatuongei anavumilia anashindwa ananiambia ninavyoona kuitana mkuu ndio inayofatia jaman
Unacheka utafikr mazuriiiii
lee kivurugeee ila umevumiliaa mengiiii ...wewe ni wa mfano ndo maana umewekwa top ile list
Ya wapi sasa ya kule msimbazi mbayaaa kaukauUnatakaa anko ajueee...machomaaaaaaa
Ha hahaha, hata mimi sikuwa nafagilia kabisa kuitana mkuu, niliona ni dalili za kuanza kutapeliana tu
Ahahhh kwahiyo nisicheke hivi yule mtoto wa ngapi wa 3 au wa 4 kidume kwenye ubora wake nilimuona mitaa ya kwa dada mangeUnacheka utafikr mazuriiiii
Ile ya jf ya wenye ushawishiiacha tu jamaan Mungu mwenyewe anajua nipo kwenye top list he he
Hahahaha ya agrey sasaYa wapi sasa ya kule msimbazi mbayaaa kaukau
Ankooo...huwa unabana na jeans?