Nashukuru kwa kulipenda gitaa, ha hahhaaha, sababu ya kuhama siti ni ndefu ila kiufupi, safarini hasa kwenye mabasi na treni huwa kuna zile 'chai' za kunogesha safari. Alipodanganya kuwa mjomba wake alichinja chui nami nikampa kisa cha uongo, akachukia , nikaona isiwe tabu tudanganyane tukiwa mbali