Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
AnkooooooooooHatujambo pia!
Nimekuonaaa na wewe umejifanya hujanionaaaa ila radaaa zimekunasaaa
AnkooooooooooHatujambo pia!
Mzima shemShikamoooo![]()
![]()
![]()
NiajeeeeStartseit fruende nachrichten benachrichtgungen seunde du Gentries....?
[HASHTAG]#Deustch[/HASHTAG]..
Shikamoooo![]()
![]()
![]()
Nzuriii....uko poa ??Mshahesabu wakuu jioni hii!!!
Habari ya siku?
Binamu shikamoo
Ankoooooooooo
Nimekuonaaa na wewe umejifanya hujanionaaaa ila radaaa zimekunasaaa
Ebhu achaAnko, nisamehe bure, nilipita pale ubalozini sijakuona
Daah binamu umenikumbusha enzi za utoto navaa gagulomarahaba aunt, mbona unanisalimia kwa kuchangamka sana, umenunua gagulo jeusi?

nilikua nalo rangi ya cream na nyeusi na ukubwa wangu huu sivai
Muziki: Kuandika Siwezi, Sikiza
....kila mmoja ana karama yake aliyotunukiwa na yeye atoaye karama (kama unaamini yupo au hayupo, sio tatizo langu-nachoamini kipo sio lazima usikiamini). Wapo wamejaariwa 'ngenga' yaani , ngojaja kwanza. Nakumbuka tumepanda basi la Wifi Naye (linatokea Mbagala kwenda Mtwara) nilikaa siti na mjomba mmoja kabarikiwa kuongea, yaani alianza kuongea tangia Mbagala hadi Mnazi Mmmoja aliposhuka maana alikuwa anaelekea Mtama.
Raha yenye karaha, siti moja mnapokutana watu wenye stori nyingi za uongo na mkijuana basi mnaamua kuhamisha magoli kwa wale wasiojua kuwa story zenu ni mazabe na uchangamfu mwingi. Japo nami nina chai zangu lakini chai moja ya huyu mjomba ilikuwa balaa maana alisema eti naye ana mjomba wake ambaye aliwahi kuchinja chui baada ya chui kuua mbuzi wake. Nilihama siti, kisa nilimpa story ya mjomba wangu mnayemjua humu akachukia. Nitawashikisha kisa kilichonifanya nihame siti, msiwe na shaka.
Muziki sasa, leo sitaki kuandika mengi maana nataka usikilize zaidi. Wiki njema na kama sikuanza kwa kukusalimia basi namaliza kwa salamu yangu kwako na kukuambia kuwa wewe ni mtu mwema sana na ninajisikia fahari kuwa hapa
Binamu santeeMuziki: Kuandika Siwezi, Sikiza

Ankoo shukrani kwa kibao amaijiiingiiiii
Binamu santee

Zaburi 130 
Zaburi 130
5 .Nimemngoja BWANA, roho yangu imengoja, Na neno lake nimelitumainia.
6. Nafsi yangu inamngoja Bwana, Kuliko walinzi waingojavyo asubuhi, Naam, walinzi waingojao asubuhi.
7 .Ee Israeli, umtarajie BWANA; Maana kwa BWANA kuna fadhili, Na kwake kuna ukombozi mwingi.
8 .Yeye atamkomboa Israeli na maovu yake yote.
USIKU MWEMA MBARIKIWE DAMU YA YESU ITUFUNIKE![]()
Asante Obe wimbo mzuri,gitaa zuri,salaam nazo..napenda kujua kwanini ulihama siti..ubarikiwe usiku mwema
Nko poa za wwMzima shem