Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Nmekula binamuMarahaba, hujambo! Mbona umenisalimia kwa sauti ya masikitiko sana, hujala?
Nmekula binamuMarahaba, hujambo! Mbona umenisalimia kwa sauti ya masikitiko sana, hujala?
Nashukuru kwa kulipenda gitaa, ha hahhaaha, sababu ya kuhama siti ni ndefu ila kiufupi, safarini hasa kwenye mabasi na treni huwa kuna zile 'chai' za kunogesha safari. Alipodanganya kuwa mjomba wake alichinja chui nami nikampa kisa cha uongo, akachukia , nikaona isiwe tabu tudanganyane tukiwa mbali
Kho Kho khooDaah binamu umenikumbusha enzi za utoto navaa gagulonilikua nalo rangi ya cream na nyeusi na ukubwa wangu huu sivai