Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mmeanzaaWw sio @Shunie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mmeanzaaWw sio @Shunie
Muziki: Gitaa La 2018
....nikusalimie kwa mara ya kwanza kabisa katika mwaka huu 2018, ni mwaka mpya, hili halina ubishi. Tumesheherekea na kwa wewe kuwa hapa na kuweza kusoma hiki ninachoandika ninaweza kujisemea kwa kujiamini kabisa kuwa umeupita na kuuanza mwaka vizuri.
Wakati naanza kuandika kipengele hiki mwaka jana, nilijikita kwenye utamu wa gitaa, maana ndicho kifaa muhimu kwenye muziki. Mara nyingi nilichagua nyimbo mwenyewe na baadaye wadau na hasa wewe ukaanza kuchagua muziki na nikawa naucheza. Chaguo lako bila kumung'unya maneno lilinifanya nijisikie kuthaminiwa sana. Kwangu, heshima ni njia mbili, kwangu kwako na sio vinginevyo.
Kwa mwaka huu 2018 kunaweza kuwa na mabadiliko kidogo lakini kaa ukijua kabisa hiki kipengele kwa huu mwaka mpya sitakimiliki mimi, kitakuwa ni chako pia kwa maana ya kwamba utakuwa na nafasi kubwa ya kuleta muziki na kuucheza. Tutakuwa tunacheza muziki wa aina tofauti, tutatambaa mabara karibu yote inapowezekana na Furahiday nitajitahidi kucheza bakulutu zaidi.
Muziki sasa, nikutakie mwaka 2018 wenye mafanikio, ni namba tu zimebadilika lakini wewe na mimi tunabaki kuwa wale wale na kama hujakumbwa na bomoa bomoa na vyuma kukaza basi bado una nafasi ya kupiga hatua kwenda mbele na inapotokea unapiga hatua kurudi nyuma basi iwe ni kwa ajili ya kufanya masahihisho kwa yale tuliyoshindwa kutatua mwaka ukiopita. Ninaandika sana eeeeh! Basi ninkuache na gwiji wa muziki na mpiga ala maarufu Tanzania Mzee Kitime akicharaza gitaa lake. Huyu mkongwe analijua gitaa na ukimjumlisha na komandoo Kalala bila kumsahau Dekula Vumbi basi utaupenda muziki.
HERI YA MWAKA MPYA NAWE PIA KITIME..LONG TIME SIJAMUONA..GITAA LIMETULIA..UBARIKIWE OBE..MUZIKI MAPEMAAA NA TULALE MAPEMAA.[emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mmeanzaa
Nami nimefurahi kukuona leo ubarikiwe[emoji120]....umejuaje lakini kuwa muziki mapema ili nilale mapema. na wewe kumbe unalala mapema?
Kitime nami sijamuona kitambo sana ukiondoa hii clip niliyoiokota YouTube. Nimefurahia tu kumuona kama ninavyofurahi zaidi kukuona wewe
[emoji15] [emoji15] [emoji87]Ahsante
Nishakaribia
Mungu awabariki
........
Madera efu kumi pita ndani...Kama kawa kama dawa. Pita ndani ujipatie simu yenye watsap fesibuku na twita kwa garama ya elufu kumi na ine tu. Karibuni sana wateja
HatariousMadera efu kumi pita ndani...
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
He'ee shunie tena jamaniWw sio @Shunie
[emoji16][emoji16][emoji16]kweli baby jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mmeanzaa
[emoji16][emoji16]kumbe...huyu jamaa anapenda sana controversy, ha hahahahahahahah
He'ee shunie tena jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hakya nani anko tumempata
[emoji3][emoji3]akusikie mwenyewe wakati yupoNimemtag shunie lakini hakutokea it means hakuna jina hilo jf so i confirmed that U a shunie
[emoji1] [emoji1] [emoji1]...kwa kweli hata mimi nimepatikana
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87]Nimemtag shunie lakini hakutokea it means hakuna jina hilo jf so i confirmed that U a shunie
Mama umevuka mwaka salamaKheri ya mwaka mpya kf wote
Heri ya mwaka mpya 2PAC....Kheri ya mwaka mpya ndugu zangu