BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Basi hata 3 tuuNimeshindwa mm hapo kwenye 10
Teh teh teh!! Unanifanya nivae rain coat na joto hili.Hakuna namna ingine acha uloe
Heri na kwako mtu wa munguHeri ya sikukuu watu wa Mungu!
Asante mama angu [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] nakupenda sanaHeri ya siku yako kubwaaaaaaa Mwanangu Shunie..wewe ni wapekee sana..Nakupenda sana..Mungu akubariki uishi maisha marefu ya kumpendeza na kumtumikia siku zote za maisha yako..you are wonderful made Psalm 139:14-15....my daughter....NAKUPENDA SANA MWANANGU[emoji173] [emoji512] [emoji512] [emoji512] [emoji490] [emoji490] [emoji513] [emoji513] [emoji484] [emoji484] [emoji511] [emoji511] [emoji504] [emoji504] NAMSHUKURU MUNGU KWA AJILI YAKO[emoji120]
Thanks dumejeuriHappy birthday to u Shunie!
Harogeki huyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shunie atakuroga ndugu yangu.
Una muwinda bhSasa mimi namuwinda nani mkuu!?
Umenikumbusha "embe kikogwa"[emoji4] [emoji4] [emoji4]Shunie ake kweli wewe wa kishua, embe unaenda supermarket.. hujui hata aina za embe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo chifu aje wapi?!Aje chief
Moningi tu yuuuu piaMorng, mmeamkaje ndugu yangu!?
Happy birthday to herHapoy birthday shunie akee!!
Kheri ya siku yako ya kuzaliwaNitamroga kweli
Shemela wa mimi, kumbe leo unazaliwaAsante mke mwee [emoji8][emoji8][emoji8] nawapenda pia
[emoji106] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Ila obe nae mchawi!! Ntwara wamemshindwa huko..
Oyaaa nitaje mie unigee hiyo msumbazi?! Vyuma vimekaza banaaTeh teh teh.. taja aina za embe zikifika 10 tu utanidai elf 10
[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87][emoji8] [emoji8] [emoji8]
Si kwa mabusu hya, leo ntaloa mate[emoji23] [emoji23]
Nisalimie shululuHBD mke mweee,Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu na akutimizie haja ya moyo wako
Tunakupenda sana