Makapuku Forum

Hawa wanajeshi waliouliwa Congo inasikitisha Sana Mungu awapumzishe mahali pema peponi Ameen [emoji120] kumbe 9 ni wa zanzibar

...wameuliwa kwa kosa gani? Hivi kuna kitu mimi sikijui jamani? Ninapouliza kuna jipya huwa sitanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…