Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Huyo huyo binamu...biko ndo nini? Au ni Steve Biko yule aliyeandika kitabu 'Ninaandika Ninachopenda'?
Huyo huyo binamu...biko ndo nini? Au ni Steve Biko yule aliyeandika kitabu 'Ninaandika Ninachopenda'?
Ila huyu lazima aombe eloko ya fally ipupaEehhhh....
Bibi harusiiii tumekuja kukuchukuaaaa eeehhhh!!!!
Eeeeh, alaji alaji.....
Hata mie sipendi kupigiwaaaaHao ukimuamini mkawa mnawasiliana mtachat mpaka vidole vipate kutu hamna kupiga
Baba yake katekwa shemela me napambana na hali yanguMsalimie sana pamoja na baba yake, japo hataki kurudi jf
Siku moja naomba nihack jf nzima kila mtu aoneshe sura yake tuchekaneeWanakuzuuuuuummm
Unashangaa eti sakayo ni bikra tena anakwambia kwa kujiaminiiii![]()
![]()
![]()
Wa honeymoon ndio mwenyewe huyo sakayo anamtania tuHuyo wa honeymoon mwingine kumbe
Changamoto
HeeeUnashangaa eti sakayo ni bikra tena anakwambia kwa kujiaminiiii![]()
![]()
![]()
Na sofa kuna utamu wakeMbili beti kwa sofa
He he me simo mwenye sura ya baba anguSiku moja naomba nihack jf nzima kila mtu aoneshe sura yake tuchekanee
Ngoja niwe mpoleSakayo ujue unamkosesha amani mkaka wa watu jamaan masikini naona hajazoea vurugu anajionea mashkolo tu
Kupiga wala kupigiana simu saut si atasikika dumeEbu fafanua hapo jaman kupiga nini tena
Hao ukimuamini mkawa mnawasiliana mtachat mpaka vidole vipate kutu hamna kupiga
Mwenyewe
MmmmhIla huyu lazima aombe eloko ya fally ipupa
Asante anko siwezi kukubishiaa..anko mwaliko na hii habari tutaongea Ijumaaa
![]()
TehSiku moja naomba nihack jf nzima kila mtu aoneshe sura yake tuchekanee
Mange nimesoma nae yuleeee.... Msambaa Wa upareniiiii