Makapuku Forum

Mungu mkubwa sana .

Mwaka unaisha vizuri...

Nataka tuu nijifanye analysis huu mwaka nimefanya nini?

....na ukishamaliza unaweka plan na projection za mwaka mpya 2018. Baadaye unagundua ni namba tu za miaka ndo zinabadilika mengi ni yale yale, unajitahidi kwenda gym mwezi dume Januari na miezi inayofuata unaacha kulipia uanachama wa gym unashinda kwenye supu na monde kusubiri December nyingine ujifanyie appraisal
 
Asante kaka
 
Amerudi analia eee
asante Obe ubarikiwe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…