moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 156,195 Reaction score 770,334 Dec 7, 2017 #302,821 Mabusu angani
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 156,195 Reaction score 770,334 Dec 7, 2017 #302,822 mjr95 said: Habari zenu wadau Click to expand... Poa mkuu, habari yako kiongozi
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 7, 2017 #302,823 girlie said: Mambo zenu naulizia lodge nzuri sinza kwa 20,000 yenye ac,pasafi,kuwe na heater na maji ya kutosha. Click to expand... Hiyo bei mkuu na vitu vyote hivyo sio kwa sinza niijuayo mimi labda manzese
girlie said: Mambo zenu naulizia lodge nzuri sinza kwa 20,000 yenye ac,pasafi,kuwe na heater na maji ya kutosha. Click to expand... Hiyo bei mkuu na vitu vyote hivyo sio kwa sinza niijuayo mimi labda manzese
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 7, 2017 #302,824 moudgulf said: Habari zenu za jioni Click to expand... Safi za kwako
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Dec 7, 2017 #302,825 Shunie said: Ndio yeye makaveli Click to expand... Ooooh
Obe Platinum Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,282 Reaction score 35,652 Dec 7, 2017 #302,826 Transcend said: Heater ya Maji Dar es Salaam? Click to expand... ...labda anataka kupika makande lodge. Au achemshe ice-cream za Azam, eti eh
Transcend said: Heater ya Maji Dar es Salaam? Click to expand... ...labda anataka kupika makande lodge. Au achemshe ice-cream za Azam, eti eh
Obe Platinum Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,282 Reaction score 35,652 Dec 7, 2017 #302,827 Shunie said: Hiyo bei mkuu na vitu vyote hivyo sio kwa sinza niijuayo mimi labda manzese Click to expand... ...oh, kumbe lodge za sinza bei aghali eeh?!! Manzese ulienda logde gani wakakuchaji bei hiyo, maji yapo ya kutosha kumfuga kirungu mpweke
Shunie said: Hiyo bei mkuu na vitu vyote hivyo sio kwa sinza niijuayo mimi labda manzese Click to expand... ...oh, kumbe lodge za sinza bei aghali eeh?!! Manzese ulienda logde gani wakakuchaji bei hiyo, maji yapo ya kutosha kumfuga kirungu mpweke
Obe Platinum Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,282 Reaction score 35,652 Dec 7, 2017 #302,828 Tumosa said: Ooooh Click to expand... Ulikuwa hujui?
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Dec 7, 2017 #302,829 Obe said: ...labda anataka kupika makande lodge. Au achemshe ice-cream za Azam, eti eh Click to expand... Shikamoo binamu
Obe said: ...labda anataka kupika makande lodge. Au achemshe ice-cream za Azam, eti eh Click to expand... Shikamoo binamu
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Dec 7, 2017 #302,830 Obe said: Ulikuwa hujui? Click to expand... Ndio nilikuwa cjui
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 7, 2017 #302,831 Obe said: ...oh, kumbe lodge za sinza bei aghali eeh?!! Manzese ulienda logde gani wakakuchaji bei hiyo, maji yapo ya kutosha kumfuga kirungu mpweke Click to expand... sijawahi mie kwenda huko nimeisemea tu mie
Obe said: ...oh, kumbe lodge za sinza bei aghali eeh?!! Manzese ulienda logde gani wakakuchaji bei hiyo, maji yapo ya kutosha kumfuga kirungu mpweke Click to expand... sijawahi mie kwenda huko nimeisemea tu mie
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Dec 7, 2017 #302,832 Shunie said: sijawahi mie kwenda huko nimeisemea tu mie Click to expand... Huyu binamu ni changamoto
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 7, 2017 #302,833 Tumosa said: Huyu binamu ni changamoto Click to expand... Ana wazimu huyu mzee
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Dec 7, 2017 #302,834 Shunie said: Ana wazimu huyu mzee Click to expand... mzee kijana
Obe Platinum Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,282 Reaction score 35,652 Dec 7, 2017 #302,835 Shunie said: Ana wazimu huyu mzee Click to expand... ...umejuaje mimi mzee?
Obe Platinum Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,282 Reaction score 35,652 Dec 7, 2017 #302,836 Tumosa said: mzee kijana Click to expand... ...eeeh, kumbe! Ulijuaje? wewe ni mkunga?
Obe Platinum Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,282 Reaction score 35,652 Dec 7, 2017 #302,837 Tumosa said: Huyu binamu ni changamoto Click to expand... ..kwa kweli ni changamoto kubwa, sijui inasolviwa vipi
Tumosa said: Huyu binamu ni changamoto Click to expand... ..kwa kweli ni changamoto kubwa, sijui inasolviwa vipi
Obe Platinum Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,282 Reaction score 35,652 Dec 7, 2017 #302,838 Shunie said: sijawahi mie kwenda huko nimeisemea tu mie Click to expand... ....sikusema kuwa ulienda huko kana kwamba nilikuona , la hasha labda ulienda kwa kutotaka ujulikane. ngoja nitafute muziki mimi muda huu
Shunie said: sijawahi mie kwenda huko nimeisemea tu mie Click to expand... ....sikusema kuwa ulienda huko kana kwamba nilikuona , la hasha labda ulienda kwa kutotaka ujulikane. ngoja nitafute muziki mimi muda huu
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 7, 2017 #302,839 Obe said: ....sikusema kuwa ulienda huko kana kwamba nilikuona , la hasha labda ulienda kwa kutotaka ujulikane. ngoja nitafute muziki mimi muda huu Click to expand... Mfyuuuu zako
Obe said: ....sikusema kuwa ulienda huko kana kwamba nilikuona , la hasha labda ulienda kwa kutotaka ujulikane. ngoja nitafute muziki mimi muda huu Click to expand... Mfyuuuu zako
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 7, 2017 #302,840 Obe said: ...umejuaje mimi mzee? Click to expand... We ni mzeee nakujua