Makapuku Forum

Wacha tuzisake
 
TUOMBE
Mwenyezi Mungu Mtakatifu, Mfalme wa wafalme,Baba wa Milele,Mshauri wa Ajabu,Mungu mwenye Nguvu Asante kwa kutufikisha siku njena hii ya leo Alhamisi Desemba 7, 2017 salama
Tunakushukuru kwa sababu Upendo wako ni mkuu kwetu, Kwa sababu unatulinda na kutuongoza, Kwa sababu unatupigania, Kwa sababu Unaweza yote,Unajua yote,Upo kila mahali. Mungu wetu tunaomba usinyamaze kila tukwitapo sisi peke yetu hatuwezi.
Tupiganie katika kila Jambo,Tufundishe,tushauri na kuturudi tunapokukosea. Mungu bariki Afya,Kazi,kusudi,Uchumi na Imani zetu.
Waponye wagonjwa wote Baba majumbani na mahospitalini,fariji wafiwa wote wape faraja yako popote walipo,angalia wajane,wagane,yatima Baba wape hitaji la mioyo yao,wasaidie wote wanaopitia changamoto mbalimbali.
Wasaidie wasafiri wote kokote waendako majini,nchi kavu na angani waende na kurudi salama..ponya mioyo yote inayotaabika kwa huzuni na dhiki ,tuongezee imani Baba tukuangalie wewe tu maana wewe Baba hukawii wala huwahi jibu lako ni ndiyo.Roho Mtakatifu kaa nasi siku zote za maisha yetu.
Ni katika Jina la Yesu tunaomba tukiamini na kushukuru Amina.


SIKU NJEMA .DAMU YA YESU ITUFUNIKE
 
Asante Obe
 
Amin
 
Muite shunie mwenyewe bhana..
 
Dedication yangu!!?? Ninenepe.

Kama ungekuwa yangu kwa maseke yale nadhani leo angeamkia kigamboni.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…