Pole sana maka akee leo kweli umeshikikaAahh.. we acha tu shemeji, naona kama bora nipumzike tu shem lake.
Poa uwe na ucku mwemaAahh.. we acha tu shemeji, naona kama bora nipumzike tu shem lake.
Blaza unanichonganisha na mtu fudenge....blaza ulichokula leo na kesho ule ili hizi busara ziendelee kuwepo, sio kama anko wangu yeye akiamka tu anaenda kusukutua chooni unategemea ataongea jambo usikasirike, thubutuuu
Ilikuwa yako au ?, bhas juis utapata
Mie na mito ni dam dam..Lala unono maka akeeukumbatie mito yako vizuri
Toka lin paundi zikapenya mpesa..Ahahahh ebu nitumie kwenye mpesa
Sawa chief..Wala mm nampa tahadhar
Ahsanye shunie ake.Pole sana maka akee leo kweli umeshikika
Nimejikuta nacheka sana hivi una nini lakini binamu ebu niache na nyimbo yangu inifikie mwenyewe tu mm niliyechagua hapa viti virefu nilipoMuziki: Mdhamini Unfollow
Ni kwa udhamini wa aunt yangu ambaye upendo wangu kwake ni oneway traffic, unaenda tu haurudi, ila kimoja cha msingi anachojua ni kuwa furaha yake ndo furaha yangu mimi na mama yangu. Tuburudike na udhamini wa our very own one and only shortie no mkorogo mbagala rangi tatu Shunie
Hivi huu wimbo hauna dedication? Labda alisahau ngoja nimuite makaveli10 aulize kama kadedicatiwa yeye
..ningeshangaa usingeandika hivi. Basi nakushukuru wewe nasema asanteAtapata kwa pic ya kwa stts nikipost atakula kwa macho
Usikubali kupaka hayo mavitu..Mkorogo napakaje mke mwee mtu mweusi kama rami si ndio mwanzo wa kuwa na rangi pepsi mirinda jaman
Nawe pia shemeji.Poa uwe na ucku mwema
Ilikuwa yako...najua basi kama ilikuwa yangu au sio, ilikuwa yako kumbe, basi ichukue nimeirudisha wala nilikuwa sijaiingiza ndani ya nyumba
Nalifahamu hiloMie na mito ni dam dam..
Nenda bureau jaman maka akeeToka lin paundi zikapenya mpesa..
Hapa sawa