...unajua unaweza kusema anatako wakati hujamuona. Maana kufanya tako liwe na ufanisi inahitaji juhudi kubwa sio kula tu, lazima ujiandae vizuri kwenye pepa ndo tako utaona linafanya kazi
Angalizo: Tako=tackle (kivumishi cha kuonesha kukabili maswali ya mtihani), usijaze maana chafu