makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,545
Hapo ndio utajua tofauti ya zali na zariananiota mchana hakiii sijui aliniona wapi mapound ya maka akee yatanitolea watu roho
Kutokana watz nawajua vizuri ndio maana naweka hizi lugha tata kusudi tuchangamshe barazaUsisahau kuwa watanzania huwa tunaangalia maana zingine kwanza, alafu kama hiyo ya kwako inafuata baada ya maana zote kuisha na kuonekana hazina mashiko.
Kwema mkuu..Kwema
Zaidi ya sana mkuu.. bila shaka obe kaona dedication yako, ataweka goma nile ladha mie.
Obe chap kwa haraka usisubiri mpaka ndama aitwe ng'ombe
Itabidi nikuje tu kuchukua naona huyu shetani anaweza kukuzidi nguvuMie siwez kutunza pesa kama wazaramo wanavyomtunza mwali siku ya ngoma
Kwangu pesa yake matumizi bhana, siwez kuwa na visenti nihangaike kuvitunza, yaani nihangaike kuzisaka halafu nihangaike tena kutunza..
Hhmm.. haya ndugu yangu, ila ujue mie sio kibubu
Umebadili id auKwema
AhahahhhhHapo ndio utajua tofauti ya zali na zari
Muziki: Mdhamini Mzungu
..usishangae sana mdau, Kapuku mheshimika, unamkumbuka Shedede, mtu wetu mwenyewe aka Shadrack K. Lwila ambaye baaaday akununua apple laptop akaanza kuongea kiinglishi utasema muingereza kapoteza paspoti manzese. Alitusumbua humu kana kwamba tusipomuelewa atatupeleka kwa ras Simba kujifunza kubonga ung'eng'e sio kukaa tu kama kereng'enda kujua lugha moja tu kama kifo cha mende. Anko wangu akisoma kifo cha mende basi mawazo machafu yanamjaa anaanza kutafuta maneno ya kiinglishi mara dog style, bad shit heaven (popo kanyea mbingu), big farter , sorry big father na mengine mengi.
Basi mzungu wetu mpya Mwaipungu kadedicate wimbo wa Changes kwa one of us, the only makaveli10 muzee ya mapaundi, 'child of cow', mutu ya faranga, makuta, mudogo ya jirani wa dokta Shika. Mabadiliko usipoyakabiri yatakubadilisha na yakikubadilisha kubali kubadilishwa ukijidai kujikaza ukitaka tako utahitaji nguvu ya maandalizi
Tuburudike
Shukurani mkuu obe.. kwa ufanisi wa kazi yako naomba malikia wa waingereza akupe u sir tu, uwe sir..

Teh teh teh... Shetani nae hatabiriki kadri unavyomshinda ndio anakuja na nguvu zaidi.Itabidi nikuje tu kuchukua naona huyu shetani anaweza kukuzidi nguvu
Shukurani mkuu obe.. kwa ufanisi wa kazi yako naomba malikia wa waingereza akupe u sir tu, uwe sir..
Nilikumiss boss wnguMmh
Hivi umeniona wapi ndio naingia mie au ulikua unaniota
Dr Shika wa kfMiss u mo shunie ake..
Hizi pound naona unataka ziniozee mikonon shunie, ingekuwa tunatuma kwa tigopesa zaman ungekuwa ushazikoga, au unazivutia kasi kwenye sikukuu, kumbuka ya kaisari hayana adabu, matatzo yakiona pound tu ndio yanataka sifa, yanatiririka kama mvua ya kichawi milimani...
.....na mbinu mpya za kama mazungumzo ya makinikia na kupumua kwa ufaTeh teh teh... Shetani nae hatabiriki kadri unavyomshinda ndio anakuja na nguvu zaidi.
Mbeba pochi wangu namuona kwenye ubora wako anavyoyafukuzia mapound yangu
Pesa nux ndio maana mitume hawakupenda mali..
Ona sasa tumosa yuko radhi kubeba pochi kiwa nawe beneti kuliko jirani yangu
Wacha dharau shemeji.. mumeo ananijua vizuriDr Shika wa kf
Expansion joint.......na mbinu mpya za kama mazungumzo ya makinikia na kupumua kwa ufa
Nawe ntakupa tuduchu shemela wangu usijali..