...oh, hiyo ngumu sana upande wangu kwa hiyo hata maombi yangu yatakuwa magumu kukufanya ufanikiwe. Wanaoijua hiyo EI watakuwa washakuombea. Ukimaliza paper na ukaanza kufanya you know, like internship, nitakuomba uje unifanyie wiring (ina tofauti na EI?) kwenye kibanda changu , umeme wa REA unakuja