[emoji120] [emoji120] [emoji120]Za mimi njema kabisa
Fikisha salamu kwa Shululu[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Sijambo jiraniJirani nakusalimu..
[emoji120] [emoji120]Sijambo jirani
Kumbe ulikuwa hujui eehEti Shunie, Sakayo ni mdogo wako?
HahahaAhaaa.
Kumbe jirani ni kikagula
Nimelala tuu[emoji120] [emoji120]
Wikiend inaendaje
Ndio jirani.Kumbe ulikuwa hujui eeh
[emoji134] [emoji134] [emoji134]Hahaha
Kigagula sio cha nchi hiii
AfadhaliNdio jirani.
Naona Baba D kanitoa tongotongo
Mmmhh.Nimelala tuu
Ujue bado miaka miwili nistaafu!?!! Nimeamua kustaafu kwa hiari mwaka huu jirani[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Jirani Shikamoo
Unastaafu huku JF au wapi?Ujue bado miaka miwili nistaafu!?!! Nimeamua kustaafu kwa hiari mwaka huu jirani
Hivi kulala mpaka ufunge macho eeehMmmhh.
Umelala usingizi au ....mbona naona post zako huku[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kazini bhanaUnastaafu huku JF au wapi?
Jirani [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hivi kulala mpaka ufunge macho eeeh
Sawa.Kazini bhana
HahaJirani [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Najua umelala ile style ya kusema ''sipati usingizi nakuota kila mara"