Huyu demu mm nilimpenda tu nikaamua niweke pic yake..
Sasa hao watakao nitongoza kisa hii pic ni wapumbavu na hawana sj
Akili huwez tongoza mtu kisa avatar ya kike..
Mbaya zaidi nimekua nikisema kabisa mm ni Dume/Basha/Ngosha/Nina miguu mitatu inayofanya kazi 24/7
Jaman hivi na huko kwenu mikoani umeme vipi mkinunua kwa simu au kununua kwa max malipo mnapata aisee huku kwetu kwenye simu hununui na kwenye max malipo pia net hamna hawa tanesco hawajatoa taarifa yeyote