makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,003
- 104,525
Wanatunyanyasa kama tunatumia bure, sijui ingekuwa ni bure ingekuwaje.
Ahahahh hilo hiloHiv hili lilikuwa tangazo la godoro dodoma eeh..!!?
Inabidi tupambane tuWanatunyanyasa kama tunatumia bure, sijui ingekuwa ni bure ingekuwaje.
Gesi ipo ya kumwaga, juzi mvua imepiga maji yatakuwa yakutosha na mgao haujaisha.. sasa hiyo tren ya umemr si tutakuwa tunalala porin kufanya utalii bila kupenda..
Duh.. na ualwatan wngu woye sijui haya mambo, hebu fnya mpango nichungulie jicho la kwanza sio dhambi.. namie nipate kustaajabu ya musa, ili nisije kushangaa zaid ya firauni..Mkuu..
Nasikiaga kuna picha chafu sijui...
Huwa naogopa kwenda huko aisee
Teh teh teh...Hahahaa...
Nouma sana
Naona kama umeitikia kinyonge ndugu yangu..Ahahahhh nini sasa maka
Wasema hadi uwaombe mods..Duh.. na ualwatan wngu woye sijui haya mambo, hebu fnya mpango nichungulie jicho la kwanza sio dhambi.. namie nipate kustaajabu ya musa, ili nisije kushangaa zaid ya firauni..
Nini sasa shem..
Hilo nalo tatizo mie simjui mod hata mmoja, na unaanzaje kuomba!?Wasema hadi uwaombe mods..
Sasa mods nanae mjua ni invisible tuu...hebu tajeni wengine..
Yawezekana huyo yuko off duty leo
Utashindwaje kutoka na njia ya kuingilia unaijua.. haiwezi kuwa kama kalavati kuw unapoingilia sio unapotokea.Nini sasa shem..
Niliingia nikashindwa kutoka ujue nitaumia sana...
Hapana mkuu..Utashindwaje kutoka na njia ya kuingilia unaijua.. haiwezi kuwa kama kalavati kuw unapoingilia sio unapotokea.
Haya, tusubiri maelekezo.
Si unasoma tu, kwan lazima ukomenti.Hapana mkuu..
Mimi sitaki niharibu Id yangu..m
Hahahahaaa....Si unasoma tu, kwan lazima ukomenti.
Shunie kaishakula kona, sasa sijui ndio kaelekea huko..