Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524]Ayubu 19:25-27.
25 Lakini mimi najua ya kuwa Mteteaji wangu yu hai, Na ya kuwa hatimaye atasimama juu ya nchi.
26 Na baada ya ngozi yangu kuharibiwa hivi, Lakini, pasipokuwa na mwili wangu nitamwona Mungu;
27 Nami nitamwona mimi nafsi yangu, Na macho yangu yatamtazama, wala si mwingine.
Mamaa vifungu.. ubarikiwe.
 
f68a67f0dc5475d1ac041088b7622cfa.jpg
 
[emoji524]Ayubu 19:25-27.
25 Lakini mimi najua ya kuwa Mteteaji wangu yu hai, Na ya kuwa hatimaye atasimama juu ya nchi.
26 Na baada ya ngozi yangu kuharibiwa hivi, Lakini, pasipokuwa na mwili wangu nitamwona Mungu;
27 Nami nitamwona mimi nafsi yangu, Na macho yangu yatamtazama, wala si mwingine.
Ameen Mom [emoji120]
 
Aahh.. tanesco mambo gani haya tena, mnajua mtaa wa 7 sijaja sikudahali wa dahali, leo nafika tu mnakata umeme, wacheni ubwege habithul amal nyie, nyama kilo moja, nusu na robo, shwain, tandarubete na umali..[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Back
Top Bottom