Makapuku Forum

Muziki: Wikend Njema

..sitaandika mengi sana leo maana ni wikend, na juma zima nimekuchosha kwa maneno mengi ambayo najua kabisa huna sababu ya kuyakumbuk hasa yale ambayo huwa ninaandika kichwa kikiwa UI, ila mimi kila ninapoingia humu najisikia vizuri sana maana kwanza huwa nakukuta wewe mtu mzuri kabisa ambaye amewahi kutokea maishani kwangu.

Muziki sasa, ni chaguo la Shunie ambaye ni aunt yangu anayejulikana na familia yetu, nakufurahia shululu , Tumosa , Sakayo , Transcend , husna muba , BlessedHope ,Tetramelyz , SHIMBA YA BUYENZE , koncho77 , dumejeuri , Mndali ndanyelakakomu , moneytalk , Nyagei , Gentries na wewe unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kabisa. Usiku na wikend njema

 
Binamu yangu kipenzi santee
nakupenda mimi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…