Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Mimi siyo huyo mama ila naweza kusaidia. Ndiyo inaruhusiwa, katika mazingira fulani fulani yakiwemo yale ya kumpumbaza adui na kumwingiza mtegoni yeye akidhani kuwa mnarudi nyuma kumbe mnamvutia afike mahali ili mmshambulie kwa urahisi zaidi. Strategic retreat ...Mama nikumbushe sheria ya jeshi inaruhusu kurudi nyuma?
Mkuu habari yako kwanzaMimi siyo huyo mama ila naweza kusaidia. Ndiyo inaruhusiwa, katika mazingira fulani fulani yakiwemo yale ya kumpumbaza adui na kumwingiza mtegoni yeye akidhani kuwa mnarudi nyuma kumbe mnamvutia afike mahali ili mmshambulie kwa urahisi zaidi. Strategic retreat ...
Bhado mnaendeleaa??Sijui maana shunie ndo ammetutambulisha kama huyo ni mdogo wa lee
Mamkubwa bado ana wenge na ukichanganya na maluelue ya kuachwa ndo kabisaBhado mnaendeleaa??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mamkubwa bado ana wenge na ukichanganya na maluelue ya kuachwa ndo kabisa
Usicheke mkuu kuachwa ni maumivu makali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huna adabu weyeMamkubwa bado ana wenge na ukichanganya na maluelue ya kuachwa ndo kabisa
Kweli mkuuUsicheke mkuu kuachwa ni maumivu makali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huna adabu weye
Mamkubwa ujue nakumbuka mlivyo nitimuaHuna adabu weye
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kweli mkuu
Hata kama, huwezi kutuongelea vibaya mbele za watu. Sisi bado ni wazazi wakoMamkubwa ujue nakumbuka mlivyo nitimua
Hivi ni mwanenu na bro?Hata kama, huwezi kutuongelea vibaya mbele za watu. Sisi bado ni wazazi wako
SijaelewaUmeona hiii?? Hope itapunguza maswali
Shem mzima ??Sijaelewa
Tangawizi iliishaKho kho kho
Usutwe na nini jamanHee ndo maana najiweka kando nisije suntwa mie