Salama mpenzi waendeleajeMy mke, za jioni
Niko poa kabisa, ndio narudi nyumbani baada ya pilikapilika za kaziSalama mpenzi waendeleaje
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwelii siwaoni
Pole sana baba watoto,umekuwa na pilika kweli wiki hiiNiko poa kabisa, ndio narudi nyumbani baada ya pilikapilika za kazi
Na kila mtu na aseme Aaaaaaaaaamen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
AmeeenNa kila mtu na aseme Aaaaaaaaaamen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
AaaamenNa kila mtu na aseme Aaaaaaaaaamen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Shem sina cha kusema zaidi kukushukuru kwa keki na suprises zako kwa leo Mungu azidi kukutunza na kukulinda shem lake ....shuny le boss asante mmeninyoosha na baba d ....