Makapuku Forum

Chief niko salama na jana nimeaga ukaperaaaa ...sema wanonko wakiongozwa na husna kazi ninayo
Kwanza nikupe hongera chief kwa kuuaga ukapela, huzuni ya kuniacha katika jumuia ya mabachelor hasa wewe ukiwa katibu wangu haifikii furaha ya wewe kupata goma..

Hao wanoko, wapambe nux achana nao
Na wakuache ulale alijisemea domo platnumz.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…