Jamaan wewe binamu ebu mwache shem wangu mbona kivuruge wewe jaman na ole wako mgeni akimbie husna atachukuliwa na shem
Kava ntakuletea anko ila upunguze fitina
Yaaanndege anakaribia kupeperuka
Aiseeee uzuri alishaambiwa mapema kuhusu wewe
Basi ndio umuache na baby wake....shemu wako haogopi kurogwa? Kama anadawa ya kujinasua wakinasiana basi amsogelee kipenzi changu. sitaki masihara kwenye mambo ya kimwili mimi
Na sikwambiii pambana na hali yako baby we hujawai itwa na husna si umuulize mana yake mtoto
Wacha baba d akupendeYaan huyo obe kiufupi sio mzima kabisa
Wiii hakuna wa zamani we ndio wa kwanza na mwisho achana nao hao vyote wivu
....labda BH ataniita baby!! Maana ukweli usemwe Husna wangu hajawahi kuniita baby, ananiita jina langu tena lile la ukoo kabisa utasema tumezaliwa tumbo moja
HuniaminSitakiiii unanijaza
Yamekukutia wapi
....shemu wako haogopi kurogwa? Kama anadawa ya kujinasua wakinasiana basi amsogelee kipenzi changu. sitaki masihara kwenye mambo ya kimwili mimi
Linalomeremetaa au...sasa umeongea ya maana, kwa hapa sahau mimi kueleza maovu yako yote. Ujue nakupenda sana anko wangu
Waaow asantenipatie chochote kile unachoona kitanifaa mgeni mimi
....labda BH ataniita baby!! Maana ukweli usemwe Husna wangu hajawahi kuniita baby, ananiita jina langu tena lile la ukoo kabisa utasema tumezaliwa tumbo moja
Anko pleasee niachie mcute wangu mbona hivo....unataka cha shilingi ngapi, maana sio tu useme upatiwe chochote kumbe mfukoni una nauli tu ya kurudia kwenu
Yaan huyo obe kiufupi sio mzima kabisa
Walahiii kesho nakubebea nyama choma
Ya kuku yashaishaa anko...huna haja ya kubeba nyama kabisa, wewe piga picha nyama choma umtumie. Anko mkubwa alimtumiaga picha ya kuku, hatukulala humu kisa picha ya kuku