Baby wife swty huyu anko anamfitinisha wii wako shunie ili aachane na mpendwa wake naona anataka kukuingiza kwenye 18 zakeAnko hasemagi uongo, lakin ngoja nifanye udadisi kwanza
Nimeona safari imezaa matunda, sasa usisahau basi kuniletea kava la simu, maana hili la sasa hivi nilinunua used.Wewe pambana na wazee vibibi gagula wenzako anko wangu mpendwa ...haya mambo ya kileo ...safar inazaa matundaa
Hahaa we mwenyw umesema mpya maana yake wazaman yupo(wapo)Ata wa zamani hayupoo... ni wewe tu anko ananifitinishaa
Ndo maana baba d anakupendaHuyo ni chapombe akinywa anaoga kabisa
Jamaan wewe binamu ebu mwache shem wangu mbona kivuruge wewe jaman na ole wako mgeni akimbie husna atachukuliwa na shem...walinimwaga wote waliponiona nimeenda kwa kabidhi wasii akanikabidhisha kwa wangu mahabibt anayewashinda wote, ua langu nilipendalo Husna.
Wewe nakujua huwezi kumuacha mdogo wa mama Ashura
Mmm wazamani yuko wapi baba
Kava ntakuletea anko ila upunguze fitinaNimeona safari imezaa matunda, sasa usisahau basi kuniletea kava la simu, maana hili la sasa hivi nilinunua used.
Halafu ujue nini, vibibi gaggula ndo vyenye ufundi unaotakiwa, wewe komaa na vimisi visivyojua kitu. lazima umpate bibi fundi
Aiseeee uzuri alishaambiwa mapema kuhusu wewe...anakudanganya anakudanganya huyooooo, hawa jamaa sijui waliendaga wapi.
nakumbuka ndo wimbo ulikuwa unamdediketia Kuruthum baada ya kumuacha Joy Bonge
Shukrani mkuu ulale unonoUsiku Mwema Wapendwa
Kheeeeeee...vipi, shululu karudi mapema au kimeshachacha?
Tia ndimu kisichache, ipo ile ndimu ya kichina, ndimu ya unga
Baby wife swty huyu anko anamfitinisha wii wako shunie ili aachane na mpendwa wake naona anataka kukuingiza kwenye 18 zake
Kuwa ng'ang'ariii mpendwa
Na sikwambiii pambana na hali yako baby we hujawai itwa na husna si umuulize mana yake mtoto....ngoja kwanza? aunt yangu tunayependana Shunie hebu nifundishe, hivi mdada akimuandikia anko wangu hili neno 'bby' anakuwa anamaanisha nini kwa mfano?
Ujue mimi huwa nakuwa wa misho kujua mambo humu
Dear si unajua furaha ya leo kukupata mcute ...wewe ni mpya kabisa make Mungu ana sababu zake wewe kukupataHahaa we mwenyw umesema mpya maana yake wazaman yupo(wapo)
Woooyooooooooooo usiku watalala kama kunipendaAnko mpandishie wimbo mpendwa wangu wimbo wa T.I.D -watasema sana
Karibu sana leo ntakuhudumia mie unajckia kula na kunywa nnKumbe nna mawifi wengi Asante wifi tumosa
Husna nipelekee wapii shemJamaan wewe binamu ebu mwache shem wangu mbona kivuruge wewe jaman na ole wako mgeni akimbie husna atachukuliwa na shem
Wiii hakuna wa zamani we ndio wa kwanza na mwisho achana nao hao vyote wivuMmm wazamani yuko wapi baba
Namtetea wapi shem ...ila najutaHuyo ni kivuruge si huwa unamtetea wewe
Huyo ni chapombe akinywa anaoga kabisa