Makapuku Forum

Shunie kula kitu hiko.. agiza na kilaji barid tutalipa hata mwakani maana hata serikali yetu inadaiwa ndio itakuwa sisi bhana..
...na tukishindwa kulipa tutajiunga na member wanaodaiwa madeni yasiyoweza kulipika so tutaomba deni la kilaji lifutwe, au wakiweka masharti tunamweka rehani aliyekunywa kilaji cha baridi
 
...na tukishindwa kulipa tutajiunga na member wanaodaiwa madeni yasiyoweza kulipika so tutaomba deni la kilaji lifutwe, au wakiweka masharti tunamweka rehani aliyekunywa kilaji cha baridi
Kwa kumuweka bondi ndugu yangu hapana, mafunzo ya kung fu yatachukua nafasi, kinywaji tunakunywa halafu tunaondoka ki boro yeung
 
Somo langu ulilielewa sana..

Mimi kama katibu wa kf kwenye masuala ya mabandiko na mapost.. napitisha post ya wimbo wa yawa..

Aisee obe muwekee ndugu yangu hicho kitu akonge moyo wake.
Ahahhaa lile somo liliniingia sana mpenzi wako akikuonyesha upendo na we mpende vile vile na sio unampenda wewe tu yeye hana time na wewe ile siku ulinijenga sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…