Makapuku Forum

Mimi naumwa sana hofu kwako tu nilikuwa nataka hiyo nyimbo iniliwaze tu mwambie binamu asante nimepata ujumbe wake acha nipambane na hali yangu

...hali yako pambana nayo wala usimshirikishe anko wangu maana haamini hadi muda huu hujasikia habari zake za kufungishwa ndoa ya kapeti maana mkeka ulikosekana. Kanipigia simu anataka niwe mshenga, nimempa namba ya shululu maana sitaki niwe mdhamana nikosane na wewe
 
Binamu naomba nyimbo ya yawa hayo mengine mtajuana wenyewe na anko wako huyo ni kidume acha awowe tu mwanaume sio ndg yako naomba nyimbo mm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…