Makapuku Forum

Zaburi 144

1 Na ahimidiwe BWANA, mwamba wangu, Anifundishaye mikono yangu vita, Vidole vyangu kupigana.

2 Mhisani wangu na boma langu, Ngome yangu na mwokozi wangu, Ngao yangu niliyemkimbilia, Huwatiisha watu wangu chini yangu.

3 Ee BWANA, mtu ni kitu gani hata umjue? Na binadamu hata umwangalie?

4 Binadamu amefanana na ubatili, Siku zake ni kama kivuli kipitacho.
 
 
Naupenda sana huo wimbo,naamini utanitumia son..Bless U
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…