Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Hongera.Nafurahi kusikia wewe mzima. Nipe hongera basi
kwani tayari?Hongera.Nafurahi kusikia wewe mzima. Nipe hongera basi
kwani tayari?Yanga na Man utd weweHongera.![]()
![]()
![]()
kwani tayari?
Amewahi kuwa X wangu, muite shemeji na sio dada.Linamo, nawe ni dada muhimu kwetu, nakutakia usiku mwema

Uwiiiiiii haya hongera nilisahau.Yanga na Man utd wewe
Ulivyo muongoooo dah lini hiyo?Amewahi kuwa X wangu, muite shemeji na sio dada.
![]()
![]()
Asante sana. Jipange vizuri. Sisi tunatarajia kuingia kwenye makundi kwenye shirikishoUwiiiiiii haya hongera nilisahau.
Mwaka huu nimekubali.Ngoja nijipange kwa mwakani.
Usijali kaka, umeshasamehewa tayari. Jumapili njema kaka.Ni mimi JAMBILO ndg yenu, nawapenda wote, kwa yeyote niliyemuudhi anisamehe, mmbarikiwe, usiku mwema
Sawa lakini hamuwezi mkaifikia rekodi yetu au kuivunja.Asante sana. Jipange vizuri. Sisi tunatarajia kuingia kwenye makundi kwenye shirikisho
Kwahiyo unanikataa hadharani kabisa!Ulivyo muongoooo dah lini hiyo?
Nitaanza kukuogopa
Utafutaji wa pesa ya kula bata wikiendi.Leo nilkuwa bize kuna kashughuli kalinibana...si unajua mambo ya weekend mkuu
Haujatoka church Mkuu?Hamna MJADALA...tupo kawaida km ulivyptuacha
![]()
![]()
![]()
![]()
.....................
Time will tellSawa lakini hamuwezi mkaifikia rekodi yetu au kuivunja.
Am waiting.Time will tell
BaelezeeeYanga na Man utd wewe
Naona unatafuta kikiKwahiyo unanikataa hadharani kabisa!
Basi sawa wee endelea na huyo peterchoka aliyechoka choka.
Nimesikia ila fungeni mkandaBaelezeee
Wameshaelewa tayari.Baelezeee
Too late..... Ushindi uko mezaniNimesikia ila fungeni mkanda
Umekuja na sh. ngapi?Jaman mpooo,, usku mwema kwenu,, kapuku mwenzenu nlijichimbia kw mda ndo naibuka
Usiwe unapotea sana basiAsante mae