Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Njoo pmPastor pray for me naumwa kifua sana.
Njoo pmPastor pray for me naumwa kifua sana.
Morning shemGood morning to you all.
Happy mother's day
Za jumapili Shem wanguMorning shem
Usijali Mkuu, mie nipo na internate yangu ni ya kasi ya ajabu.Kabisa kuna na EMMYGUY , Patience123 , HOPECOMFORT ,Linamo, Nahrene aggyjay hawa watu wanapotea sana aisee...Inabidi ianzishwe Roll call hapa
Nzuri wifi,Habari za Jumapili
Namshukuru Mungu hali yangu inaendelea vizuri.Kaka afya vip leo
Namshkuru Mungu Jumapili ni nzuri kabisaZa jumapili Shem wangu

Pole maePastor pray for me naumwa kifua sana.
Ni vyema na haki kumshukuru Mungu katika Kila jamboNamshkuru Mungu Jumapili ni nzuri kabisa
I feel the presence of Lord![]()
![]()
Salama my wiiHabari za Jumapili
Wifi kaka yangu mzima?Nzuri wifi,
Jumapili njema
Mzima shemdarling?Usijali Mkuu, mie nipo na internate yangu ni ya kasi ya ajabu.
Braza, umzima lakini?
Kaka ako mzima sanaaaWifi kaka yangu mzima?
Sawa mporaKaka ako mzima sanaaa
Ameenda ibada
Mzima?Za jumapili Shem wangu
Hao jamaa ni wasumbufu balaa.Mkuu naona wakongwe waliingia humu mkawakaushia
Jumapili ni njema shemHabari ya jumapili wanafamilia!
Nafurahi kusikia wewe mzima. Nipe hongera basiMzima?
Aya maeSawa mpora