AhahahhahaNina mashaka na Utanzania wako, ngoja nielekee uhamiaji isijekuwa unatokea nchi za kigeni.
Mtanzania halisi, wengi lazima uwe Simba au Yanga, isipokuwa hivyo basi uwe kama Mimi shabiki wa JKT netball
Hiyo hiyo binamu jaman...ile ya baridi hadi inatoa jasho
[emoji134] [emoji134] [emoji134]Shangaa sasa, yaani anajitamkia maneno tu na hajui hasira zangu zinamuangukia mama yake
Mbona ww raia wa msumbiji hatujakusemaNina mashaka na Utanzania wako, ngoja nielekee uhamiaji isijekuwa unatokea nchi za kigeni.
Mtanzania halisi, wengi lazima uwe Simba au Yanga, isipokuwa hivyo basi uwe kama Mimi shabiki wa JKT netball
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]...binamu, wewe haupo kule? Heh, ngoja nisiulize ufundi mpya huwa unautolea wapi, au unachepukaga?
Sijauliza swal,i nimesema wacha nisiulize maana mmmmmh
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kumbe unafanyia kusudi eeehStory bila arost hainogii[emoji1] [emoji1]
Kafunga ngapi?!Woooooooooozaaaaaa mnyamaaaa
Tangu ln kawa mkewe?!Najua lakini kwa nini hanieshimu mtoto wa mkewe
.....ni Mke piaMtoto wa mke ni .............. .
Anko ngoja ntakuquote.....anko, usiiweke hapa tafadhari, nami sitaiweka yako. I'll anko umekuwepo kule kitambo sana, enzi za Maria Roza
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Shangaa sasa, yaani anajitamkia maneno tu na hajui hasira zangu zinamuangukia mama yake
Yule ni Wa BH siku hz[emoji4] [emoji4]Baby wa Binamu Upo?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] no nafata vile mtunzi anavyotupia[emoji3] [emoji3] [emoji3] kumbe unafanyia kusudi eeeh
Tangu ln kawa mkewe?!
Mbona ww raia wa msumbiji hatujakusema