Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Huyo c alikuwa analalamika aliomba aungwe jukwaa la wakubwa hakuungwa au
Huyo c alikuwa analalamika aliomba aungwe jukwaa la wakubwa hakuungwa au
Simba inanipa raha mie waiterrr ongeza nyingine![]()
Kama husna kakuona, hajakutangaza mtaani kweli maana dada yetu yule nae kwenye umbea hajalegea..Mimi nilibisha sijui alikuwa anataka anikwepe ...ila chaurembo husna anayerembua kama kitumbua alituona
Mie nazama tu kf hapa kanidaka oohh.. swtpie sijui kimeenda kimerud nikamwambia nini swt p watu tumeona swt z..Mimi nilibisha sijui alikuwa anataka anikwepe ...ila chaurembo husna anayerembua kama kitumbua alituona
Hilo jukwaa tamuSalama za wewe hivi umeshaingizwa jukwaa la wakubwa
Atabwabwaja yataishaKama husna kakuona, hajakutangaza mtaani kweli maana dada yetu yule nae kwenye umbea hajalegea..
Bado hajamuunga kule kutakuwa kumejaa ujueHuyo c alikuwa analalamika aliomba aungwe jukwaa la wakubwa hakuungwa au
Siku nzuri inavyo Anza
Yule tena domo bwaku.. ila ndio hvyo ndugu yangu tena siwez kumkataa.Atabwabwaja yataisha
Asanteee mtugani wa wapi waiterrrrt lete 3 bill kwa mtu ganiNtalipia zingine Tatu
Mbona huku kwetu mvuaKajua Kwa mbaaaaiii kama kanachomoza vile
Huku kanazama
Unapitaga kimya kimya eenhHilo jukwaa tamu
Woooooooooozaaaaaa mnyamaaaa![]()
"Siku nzuri inavyo Anza
We mwenyewe Utaipenda"![]()
Napita sana kimya kimya usku wa ndotoUnapitaga kimya kimya eenh
Sawa sawaNapita sana kimya kimya usku wa ndoto
SawaMtoto ni naniii watoto wapo fb huko