Makapuku Forum

Kwanin wanakunyasanyasa mdogo wangu.. in sengaz voice
Maka ujue wanajiandikia tu watu humu wanapita wanasoma kimya kimya kuna siku lijitu chit chat huko we sinza hawajambo nilimuuliza tu lini nilikwambia naishi huko ooh utani kumbe watu wanapita kusoma huku kimya kimya mm ninapokaa najua mwenyewe na baba d tu jaman msinilazimishe nikae sehemu zenu
 
Poa best angu, tuliza mori.

Kakoma jirani yangu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…