Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Poyeee ni wapi hukoHuku kwetu ni Mvua tu toka jana Usiku wa saa 3 mpaka sasa lamwaika
Poyeee ni wapi hukoHuku kwetu ni Mvua tu toka jana Usiku wa saa 3 mpaka sasa lamwaika
Naomba sadaka binamu naelekea taifa
Asante shemelaView attachment 624507Asubuhi njema wadau
2000 - Bibi Titi Mohammed, mwanasiasa wa Tanzania alifariki
Kwa nini tena mtu ganiDahh Forum hii
Acha nipambane na Hali yng
1948 - William Phillips, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1997 alizaliwa
Naomba sadaka binamu naelekea taifa
LEO KATIKA HISTORIA inaletwa kwenu kwa udhamini mnono Wa mpendwa OBE(nakupenda sana we kiumbe)
Binamu jaman...mafundisho yanakataza matumizi ya pesa, usiende kinyume na shekeri zilizomfanya Yuda akamsaliti Yesu.
Wanotoa sadaka wana unasaba na Yuda
♀️
♀️ mbona kanisani tunafundishwa kutoa sadaka
Binamu ebu mtukane hilo tusi kubwa jaman....nakupenda sana wewe mrembo hadi natamani nitukane tusi kuuubwa kuelezea namna navyokupenda na siwezi kula nikashiba bila wewe, usingizi sipati nakuota wewe. Ukikohoa mimi natema, ukipata mafua mimi napatwa na pumu
Pole yenu mkuuHuku kwetu ni Mvua tu toka jana Usiku wa saa 3 mpaka sasa lamwaika
...mafundisho yanakataza matumizi ya pesa, usiende kinyume na shekeri zilizomfanya Yuda akamsaliti Yesu.
Wanotoa sadaka wana unasaba na Yuda
wanonunua pombe ndo wanatumia vzr pesa zao
Aiseeee na wewe upo kama binamu toeni sadaka mzidi kubarikiwa![]()
![]()
wanonunua pombe ndo wanatumia vzr pesa zao

Baraka hizoPole yenu mkuu
Mmcpo upande wa binamu mke mweeeAiseeee na wewe upo kama binamu toeni sadaka mzidi kubarikiwa
Kheee me hata sisomagi episode niliishia tu yule rafiki yake zaituni alikufa indiaIle story sijui niliishiaga ngapi vilee![]()
![]()
![]()
![]()