Makapuku Forum

...okay, mimi wala sikubishii, sasa bado unataka hii kinywaji au umeghairi? Ijumaa leo usichelewechelewe sana, nina ratiba nyingi za kijamii na kibaiolojia
Nataka jamaan tena zikuje mbili kwa mpigo za baridiiiiii [emoji85][emoji85] ila sitaki mama akute hizi post jaman
 
....kwani kuna jingine zaidi ya hilo mama, si anakunywa yeye?
Ungekuwa unakunywa wewe ningekuletea kreti zima, lakini ndo hivyo tena mpenzi wangu wewe shetani wa bia hakupendi kabisa, wewe zako maji na mate
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…