[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mzee unakumbu kumbu ujue
Ngoja atujibu mwenyeweKwani binamu sio mzee jaman [emoji41]
Bado mke mwee hajaendeleaUmeshindaje,vp makaburi ya wasio na hatia
Sasa binamu we si mupenzi wa mama angu lazima nikuite mzee...nishakuwa mzee tayari eeh, ngoja Husna wangu aje hapa akujibu na ataishia hapa kusoma, sentensi inayofuata imejiandika
...au muulize BH kama mimi ni mzee kivile mimi ni kijana sema nina mambo ya kizee
[emoji106] [emoji106]Bado mke mwee hajaendelea
Asantee[emoji4]Hongera sana sikujua ati...
[emoji15] mzee
Sasa binamu we si mupenzi wa mama angu lazima nikuite mzee
Weee...!!! Acha izoo banaa huyu ni kijana kabisaa damu changaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mzee unakumbu kumbu ujue
Lakini analipia mwenyeweUngependa kinywaji gani, ujue wewe kwa namna navyokupenda aunt yangu chochote kinywaji utakachosema natekeleza
Baby bongo [emoji1][emoji1][emoji1] we mzee...mimi ni kijana mwenye mambo ya kizee, nitaliongea hili mara ngapi. Mbona mnataka kuniharibia furahiday yangu.
Msifanye siku hii iwe ngumu, ukipenda niite baby niongeze siku za kuishi
[emoji41][emoji41] binamu nakunywa hivyo nikiwa na mastress tu jamaan mbona me mlokole [emoji85]
Mapenzi upofu ujue na uzee wote huo unamuona kijanaWeee...!!! Acha izoo banaa huyu ni kijana kabisaa damu changaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee ni Lee labdaKwani binamu sio mzee jaman [emoji41]
Weee...!!! Acha izoo banaa huyu ni kijana kabisaa damu changaa
Toka lini mzee wako akalipia kinywaji cha mtuLakini analipia mwenyewe