usijali, sio wote ni waongo"
Basi sheby alibandika maji haraka haraka yakapata moto, aliyapoza kisha akaenda nae bafuni,.. Kitimu timu ni pale kwenye kumvua nguo.... Maskini kijana sheby alikuwa akiteseka tu kwa maumivu, mana mtoto zaituni alikuwa ni msichana aliopewa shepu ya kuvutia,.. Ukiangalia figa lake, yaani hata chupi yake ilikuwa haimuenei vizuri kutokana na shepu yake ilivyokuwa nzuri, yaani umbo namba nane lakini sio kibwa, kifua kidogo kidogo kimechongoka, sheby alijikuta anamkagua mtoto wa watu, huku zaituni anajua anapozewa maji kumbe sheby kamtolea macho kweli kweli... Zoezi la kumuogesha lilianza vizuri na likaisha vizuri... Walipofika ndani sheby alifungua begi lingine ili kuchukuwa mafuta ya kupaka.. Sheby hakupenda mchumba wake aendelee kupaka mafuta ya baby care,.. Lakini alimpaka tu hivyo hivyo ila aliona hio ni mara ya mwisho kumpaka mafuta hayo..... Sasa ilipofikia kwenye kupaka mafuta sheby alikuwa akiumia sana mana zaituni bado alikuwa mtupu, Shwby alijikuta anavua nguo za chini ili asiumize zakaria yake mana ilisimama mpaka ikawa inauma kwa udogo wa eneo, hivyo kavua nguo za chini ili asiumie.. Lakini sasa kumbe hata zaituni alikuwa akizipata hisia vile alivyokuwa akipakwa mafuta na na sheby, tena sheby alikuwa akifanya makusudi pale alipokuwa akifikia maeneo ya kifua,...
"ivi we hujanitamani kweli"
Zaituni alipata wasiwasi juu ya sheby, ina maana na uzuri aliokuwa nao na shepu yake yote, kweli huyo kijana hata hatetemeki,.. Zaituni alijihisi ana mapungufu ya kimwili, hivyo ndio mana kaamua kuuliza
"kwanini nisikutamani, sema navumilia tu"
"muongo wewe"
"kweli vile"
"yuko wapi huyo jamaa hebu nimshike"
Aliongea zaitini huku akipapasa katika mwili wa sheby, ili aishike zakaria ya sheby,...
"Yeuuuuuuuwiiiiii, basi baba vaa nguo mume wangu"
Zaituni alifanikiwa kuishika zakaria ya sheby na kugundua kweli sheby alikuwa vizuri kiuwanaume... Mana alihisi ana mapungufu kumbe anamuumiza tu...
Sasa zaituni alijikuta anamuonea sheby huruma, mana nanii ilisimama sana,...
"sheby mume wangu.."
Aliita zaituni huku sheby yupo bize kupaka mafuta katika mapaja ya zai,
"sema mke wangu"
"kwanini umekula kiapo kikubwa hivyo lakini"
Aliongea zai huku akitamani kumruhusu sheby
"nilikula kiapo ili kuleta uwaminifu juu yako"
"Hapana, mimi sitaki tena.... naomba uvunje kiapo chako, siwezi kukuona unateseka kiasi hicho mume wangu... Kama ni bikra sina, sasa kwanini unilie kiapo kikubwa kiasi hicho???"
Laaaaaa Haulaaaaaa sheby haamini maneno ya zaituni yaliokuwa yakimtoka kama kuku wa kutaga vile
"lakini zaituni mke wangu... "
Sheby kabla hajamaliza kuongea zaituni alidakia juu kwa juuu
"lakini nini mume wangu??.... Mimi nilibakwa na wahuni, hivyo nilipoteza Bikira yangu, toka siku hio na sasa ni mwaka na zaidi umeisha... Kwa sasa sina Bikira tena,.. Kwanini ule kiapo choote hicho kisichokuwa na mbele wa nyuma"
"usijali zaituni... Kuwa mpole basi"
Sheby alikuwa anajifanya anakaza sana lakini ana hamu ile mbaya
"afu mkononi umeshika nini?"
Aliuliza zaituni baada ya kushika mkono wa sheby na kuukuta na nguo
"si nimeshika chupi jamani zai wangu"
"hebu weka hio chupi pembeni achana nayo,.. Kwanza umeifua wala staki kuivaa mbichi na sina nyingine"
Je? Sheby atavunja kiapo alichoapa mbele ya mama mkwe, japo bado