Makapuku Forum

Inaboa sana kwakweli, mi sipendi tabia za hivyo sana,
Watu wote tunakosea ila ukiona umeteleza unaomba radhi unajirekebisha life inasonga yanini kukaa na vinyongo??
Mbona si wengine tukikosa huwa tunaomba radhi ??
Naomba Makapuku wote yule mtu akirudi tena kwa mbwembwe bila kuomba radhi HAKIKISHENI HATUMQUTE/REPLY WALA KUGONGA LIKE .......tumuignore coz katuonyesha dharau(hataki kuomba radhi wala kukubali kosa) analeta blah blah tu
Nimemongea nae kwa upole zaidi ya mara 5 anajifanya jeuri tu
................................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…