Waebrania13:1-2
"Upendano wa ndugu na udumu. Msisahau kuwafadhili wageni; maana kwa njia hii wengine wamewakaribisha malaika pasipo kujua."
Tusiache kuwakaribisha wageni kwani huleta baraka mbalimbali na pia wengine ni malaika. Tusiwakaribishe tu bali pia na kuwafadhili, tufanyike baraka kwa wengine nasi tutabarikiwa.
AMEN