Laaaaaa Haulaaaaa maskini sheby wa watu ndio huyo anakubali kuvuliwa suruali, tena sheby mwenyewe wakati huo ana moto wa kula tunda hilo... Kila akiona chupi ilivyoishia magotini ndio anazidi kupata joto la mapenzi...
ENDELEA........
Kufanana kwingine kuzuri sana lakini ni kubaya sana katika mapenzi, zainabu anajua fika huyu ni mwanaume aliekuja na mdogo wake ambae ni pacha wake, lakini kwa wivu wa mapenzi anajikuta anamtaka mwanaume huyo,.. Na kijana huyo bila ya kujua alijikuta nae anamtamani kimapenzi... Sasa wakati huo chupi ya zainabu imeishia magotini huku kijana sheby joto likizidi kumpanda haswaa, aliishika ile nguo na kuimalizia kuivua, kisha akapandisha ile sketi tayari kwa kula tunda lq zainabu ila hajui kama ni zainabu,... Lakini sasa kumbuka kulikuwa na kiza hivyo walioongia kwenye gari kiza kilizidi kuwepo, mana gari ilikuwa ni tinted hivyo hata uwashe taa bado mtu wa nje hawezi kuona ndani ispokuwa kioo cha mbele peke yake, na aliopo mbele ya gari pia hawezi kuona kwasababu wao wapo siti ya nyuma wakiwa wamezuiwa na siti ya mbele... Sasa mtoto wa watu kila akiitafutia papuch ya zai ili aanze gemu, zai anasema sio hapo.. Kana kwamba zai kuna kona zake alikuwa anataka.. Mana shebt yeye alikuwa anataka kutumia njia ya kawaida lakini zai anakataa na kusema sio huko.. Sheby kwa hasira tu alijikuta anawasha taa ya hapo ndani,.. Sasa hapo ndio akamuona vizuri mwadada huyo, kitu cha kwanza macho ya sheby yalitua kwenye papuch ya zai,.. Kisha akamuangalia usoni..... Laaaaa Haulaaa kumbe hakuwa zaituni bali alikuwa ni zainabu, sheby ndio anajua sasa hivi kuwa huyo hakuwa zaituni aliomtegemea, bali ni zainabu... Na hata zainabu alipomuona sheby alimkumbuka vizuri tu... Walishawahi kukutana supamaketi, lakini zainabu alimletea nyodo kaka huyo,... Zainabu kuona hivyo alishikwa na aibu, papuch yake imeshaonekana afu kumjua keshamjua...