Makapuku Forum

*
TUOMBE*
ASANTE BWANA MUNGU WETU KWA KUTUFIKISHA SIKU HII YA LEO. TUNAOMBA UZIDI KUWA PAMOJA NASI, NENO LAKO NI TAA TUNAOMBA LIMULIKIE MAISHA YETU, TAIFA, SAFARI, ELIMU, BIASHARA, AJIRA AFYA, HUDUMA, MALENGO NA OFISI ZETU.
TUNAKUSHUKURU MUNGU MAANA UNATENDA NI KATIKA JINA LA YESU
TUNAOMBA AMINA.

MBARIKIWE
 
Amen Glory to God asante sana
 
Zaburi 137

7 Ee BWANA, uwakumbuke wana wa Edomu, Siku ya Yerusalemu. Waliosema, Bomoeni! Bomoeni hata misingini!

8 Ee binti Babeli, uliye karibu na kuangamia, Heri atakayekupatiliza, ulivyotupatiliza sisi.

9 Heri yeye atakayewakamata wadogo wako, Na kuwaseta wao juu ya mwamba.


SIKU NJEMA.
 
Morning family:

ZABURI 27

4.Neno Moja nimelitaka kwa BWANA,Nalo ndilo nitakalolitafuta,Nikae nyumbani mwa BWANA Siku zote za maisha yangu,Niutazame uzuri wa BWANA,Na kutafakari hekaluni mwake."

TAFUTA NENO MOJA KWA BABA ATAKUJIBU
 
Asante mama ubarikiwe
 
Amen,barikiwa pia mpendwa
 
Natamani kufahamu maendeleo ya hawa watoto umri,wako wapi,wanafanya nini please naomba unisaidie kwa hiliLyon Lee,ukipata nitumie basi kuleeer..Bless you my son
Mama watoto hawa Mungu anazidi kuwaongoza na wote watatu wanaendelea vizuri kwa sababu kwenye social media naona wanazidi kutamba

Mkubwa kwa sasa ana miaka kama sikosei miaka 20 akijulikana kama "Prince " – Michael Joseph Jackson, Jr.,
Ndo kijana wake wa kwanza japo vyanzo vingi vinaonesha kiukweli ameshindwa kuishi maisha ya mziki kama babake...japo anafanya kazi nyingine za entertainments make nakumbuka ashawahi kuhost baadhi ya awards ...
Kwa sasa anasoma business at L.A.’s Loyola Marymount University

Wa pili wa kike akijulikana kama Paris Jackson na huyu ndo inasemekana anaishi maisha halisi ya babake kiukweli ...sauti anaichezea kama baba haswa

Miaka inawezekana wanatofautiana na kaka yake Prince kama mwaka mmoja

Picha juu ni prince akiwa na Paris ..kwenye records za Hollywood yupo sana na anatengeneza pesa za kutosha

Wa mwisho mdogo kabisa ni Blanket Jackson
japo vyanzo vingi vinaonesha huyu mtundu sana, na mkorofi kuliko ndugu zake wote na inasemekana jina la Blanket amelibadirisha kama sikosei Bigi ndo anajiita

Juu dada na mdogo wake .

Kwa kifupi na hayo japo nimeweka hapa sijajua ulimanisha nn uliposema kule
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…