Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
AmenWaebrania 12:22-26
[22]Bali ninyi mmeufikilia mlima Sayuni, na mji wa Mungu aliye hai, Yerusalemu wa mbinguni, na majeshi ya malaika elfu nyingi,
[23]mkutano mkuu na kanisa la wazaliwa wa kwanza walioandikwa mbinguni, na Mungu mwamuzi wa watu wote, na roho za watu wenye haki waliokamilika,
[24]na Yesu mjumbe wa agano jipya, na damu ya kunyunyizwa, inenayo mema kuliko ile ya Habili.
[25]Angalieni msimkatae yeye anenaye. Maana ikiwa hawakuokoka wale waliomkataa yeye aliyewaonya juu ya nchi, zaidi sana hatutaokoka sisi tukijiepusha na yeye atuonyaye kutoka mbinguni;
[26]ambaye sauti yake iliitetemesha nchi wakati ule; lakini sasa ameahidi akisema, Mara moja tena nitatetemesha si nchi tu, bali na mbingu pia.
Ubarikiwe mnoo ukitafakari, NENO la uzima usiku huu
AMEN ubarikiwe mpendwa. neno la MUNGU ni taa ya kutuongoza na ni silaha mojawapo ya kumshinda adui mwovu. Na pia ndani ya neno tutaijua kweliWaebrania 12:22-26
[22]Bali ninyi mmeufikilia mlima Sayuni, na mji wa Mungu aliye hai, Yerusalemu wa mbinguni, na majeshi ya malaika elfu nyingi,
[23]mkutano mkuu na kanisa la wazaliwa wa kwanza walioandikwa mbinguni, na Mungu mwamuzi wa watu wote, na roho za watu wenye haki waliokamilika,
[24]na Yesu mjumbe wa agano jipya, na damu ya kunyunyizwa, inenayo mema kuliko ile ya Habili.
[25]Angalieni msimkatae yeye anenaye. Maana ikiwa hawakuokoka wale waliomkataa yeye aliyewaonya juu ya nchi, zaidi sana hatutaokoka sisi tukijiepusha na yeye atuonyaye kutoka mbinguni;
[26]ambaye sauti yake iliitetemesha nchi wakati ule; lakini sasa ameahidi akisema, Mara moja tena nitatetemesha si nchi tu, bali na mbingu pia.
Ubarikiwe mnoo ukitafakari, NENO la uzima usiku huu
Asante mkuu.Muwe na usiku mwema wapendwa.
MUHIMU:
>> mshukuru MUNGU kwa ajili ya siku nzima kwa kukupa kibali ya kufika muda huu.
>> mwombe akulinde usiku huu ili kesho uweze kuamka ukiwa na afya njema na uweze kuendelea na majukumu yako
>> ombea TANZANIA YETU na serikali yetu kwa ujumla.
MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI, AKULINDE, AKUTUNZE na AKUFUNGULIE MILANGO YA BARAKA. AMINA