Makapuku Forum

Sijuii hii ulikumbana nayo? Zamu ya kudishi na kuosha dish
Disher
Olevel

Ilikuwa weww unaepakuwa chakula ndio unabaki na Dish la kuosha.

Sasa hapo obvious lazima ubaki na msosi wa maaana

Ila madish watu waliyopenda ni dish la:
1. Wali
2. Maharage
3. Nyama
4. Pilau

Dish la kande na ugali halikuwa na wapiganiaji wala.
 
Yaaap


Ila mda mwingine unakuja mida ya polar tu kwa tuliokuwa off campus
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…