Aziz Ki Mayele
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 899
- 1,955
Hahaha mkuu huduma imeisha ila stil nakosa jinsi kabisa mana wameitwa sijui vijana wa hapa kaenda ukoKemea hiyo roho uwapo kanisan hata mahubiri utasikia kweli? Ama utakuwa unasema tu Ameeen bila kujua hata Pastor alifundisha nini..
Kweli hapa ndipo huwa naamini hakuna mahali maalumu pakupatia partner si kanisan si sokon si kwenye hiace...Komaa nae tu mkuu na nikutakie kla heri ikibidi aje kuwa mwenza wako..Hahaha mkuu huduma imeisha ila stil nakosa jinsi kabisa mana wameitwa sijui vijana wa hapa kaenda uko
jamn c ndo nimeuliza jam auSasa ulishindwa kuuliza hapa hapa?? Au ndo kutafuta kick??
[emoji3] [emoji3] [emoji3] dah mi lazima nisubiri apa nje aisee... ntaazuga zuga mpaka nimuoneKweli hapa ndipo huwa naamini hakuna mahali maalumu pakupatia partner si kanisan si sokon si kwenye hiace...Komaa nae tu mkuu na nikutakie kla heri ikibidi aje kuwa mwenza wako..
Sawa ulete mrejesho hapa baada ya mazungumzo na hata akikupa za mbavu...wewe usione soo kuleta mrejesho hapa..[emoji3] [emoji3] [emoji3] dah mi lazima nisubiri apa nje aisee... ntaazuga zuga mpaka nimuone
Yule jamaa ana low thinking capacityChizi yule
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji85]Yule jamaa ana low thinking capacity
Nilimwona ungabu hukuTuliupotezea halafu wakongwe wakajitokeza kwa kiherehere wakafikiri tutaenda kujibu lkn HOLLAH zen Mod kauhamishia huku
Kick zitaua watu
Wamekuwa km[emoji196] [emoji196] [emoji196]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......................
Niliamua kukaa kando kwanza upepo utulie, ukibisha na mjinga utaumia wewNini kimefanyika now naona dhoruba kama imepungua hivi
Wew una jini mahaba, juzi umetafuna ile kitu sura ngumuu!Dah wakuu nilikua nmekaribishwa kanisani na rafiki, kuna mtoto kakaa karibu ni nomaa mapigo yananienda mbioo
Mkuu naona wakongwe waliingia humu mkawakaushiaHata wakimbize vipi hawafiki kwa mziki huu tulionao hapa.
Kaka afya vip leoHadi huruma kwa huyu kijana.
mkuu uko poa!Brother vipi.
Salama kaka habari ya mchana.mkuu uko poa!
Huo mlupo unautakia nini?Mkuu kama una namba ya mange itupie hapa tafadhali.
Nataka nimtulize mkuu.Huo mlupo unautakia nini?
Mkuu sioni sapoti yako vp?Mkuu ndo ulikuwa na huyu au?
Kivipi brother.Mkuu sioni sapoti yako vp?