Aziz Ki Mayele
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 899
- 1,955
Hahaha mkuu huduma imeisha ila stil nakosa jinsi kabisa mana wameitwa sijui vijana wa hapa kaenda ukoKemea hiyo roho uwapo kanisan hata mahubiri utasikia kweli? Ama utakuwa unasema tu Ameeen bila kujua hata Pastor alifundisha nini..
