Ibrahim Msuya JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 572 Reaction score 1,264 May 7, 2016 #28,981 Tiba said: Nipe kwanza urais, tiba baadae!!!! Click to expand... Rais ni nan au tufanye uchaguz huku
Inog01 JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 1,294 Reaction score 1,968 May 7, 2016 #28,982 EMMYGUY said: Hapana, hutakiwi useme hivyo. Haujachelewa sana braza, bado ni mapema. Karibu sana. Click to expand... Tuko pamoja mkuu
EMMYGUY said: Hapana, hutakiwi useme hivyo. Haujachelewa sana braza, bado ni mapema. Karibu sana. Click to expand... Tuko pamoja mkuu
kizibo1 JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 1,187 Reaction score 766 May 7, 2016 #28,983 sumbai said: Kwani lazima kupost?? Click to expand... Hapana
kizibo1 JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 1,187 Reaction score 766 May 7, 2016 #28,984 Mbulu said: Washajiona mastaa makapuku wenzangu Click to expand... Mmh hatari basi
Mchoropa JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 402 Reaction score 304 May 7, 2016 #28,985 Unaweza ukakuta hata huku bado raisi akawa ni yuleyule Mzee wa majipu maana ID zingine hata kwenye kamusi hazimo@
Unaweza ukakuta hata huku bado raisi akawa ni yuleyule Mzee wa majipu maana ID zingine hata kwenye kamusi hazimo@
manuu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 4,064 Reaction score 10,745 May 7, 2016 #28,986 Wakuu Kwema...Nipo pale pale ama nimepotea njia naona hadi wabeba box wako kwa line hizi.?.
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 May 7, 2016 #28,988 Ibrahim Msuya said: ngoja nijitahid kukujib. Katika maisha ukiwa mvivu kutafuta ndipo unafanya mwili kuw mlemavu. Lakin ukiruhusu mwili wako kupamban na kuruhusu kutafuta bac utakuwa na mwenendo mzuri Click to expand... Kumbe una akili kiasi flan! Safi
Ibrahim Msuya said: ngoja nijitahid kukujib. Katika maisha ukiwa mvivu kutafuta ndipo unafanya mwili kuw mlemavu. Lakin ukiruhusu mwili wako kupamban na kuruhusu kutafuta bac utakuwa na mwenendo mzuri Click to expand... Kumbe una akili kiasi flan! Safi
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 May 7, 2016 #28,989 Bitoz said: Tusimbembeleze Asipofuta kauli yake TUHAKIKISHE AKIJA HUMU TUNAMPOTEZEA KIAINA Bora marafiki 10 kuliko wanafiki 100000000000 ...................... Click to expand... Naunga mkono hoja
Bitoz said: Tusimbembeleze Asipofuta kauli yake TUHAKIKISHE AKIJA HUMU TUNAMPOTEZEA KIAINA Bora marafiki 10 kuliko wanafiki 100000000000 ...................... Click to expand... Naunga mkono hoja
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 May 7, 2016 #28,990 Bitoz said: Tusimbembeleze hatatuona malofa Tumpotezeee Tuhakikisha hagusi huku hadi AOMBE RADHI TENA KWA HIYARI YAKE MWENYEWE ........................ Click to expand... Point hiyo
Bitoz said: Tusimbembeleze hatatuona malofa Tumpotezeee Tuhakikisha hagusi huku hadi AOMBE RADHI TENA KWA HIYARI YAKE MWENYEWE ........................ Click to expand... Point hiyo
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 May 7, 2016 #28,991 EMMYGUY said: Naona ni msimu wa homa. Click to expand... Hivi homa kumbe zina msimu??
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 May 7, 2016 #28,992 MANDELAA KIWELU said: ....pouwa Click to expand... Wikiendi yako?
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 May 7, 2016 #28,993 youngblood said: Huyu dogo naye ana safari ndefu sana. Sasa hiki ndiyo nini. Click to expand... Brn mkuu
youngblood said: Huyu dogo naye ana safari ndefu sana. Sasa hiki ndiyo nini. Click to expand... Brn mkuu
Clueless14 JF-Expert Member Joined Aug 27, 2014 Posts 3,111 Reaction score 4,773 May 7, 2016 #28,994 Makapuku ni kina nani
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 May 7, 2016 #28,995 Nyani Ngabu said: USA baby.... Mi ndo rais wa wabeba maboksi..... Click to expand... Mkuu leo upo ukapukuni! Karibu mkuu
Nyani Ngabu said: USA baby.... Mi ndo rais wa wabeba maboksi..... Click to expand... Mkuu leo upo ukapukuni! Karibu mkuu
Inog01 JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 1,294 Reaction score 1,968 May 7, 2016 #28,996 jambilo said: Mkuu leo upo ukapukuni! Karibu mkuu Click to expand... Daa kumbe hku kmbilio la wengi
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 May 7, 2016 #28,997 manuu said: Wakuu Kwema...Nipo pale pale ama nimepotea njia naona hadi wabeba box wako kwa line hizi.?. Click to expand... Mkuu kwema, leo tuna wageni wengi balaa
manuu said: Wakuu Kwema...Nipo pale pale ama nimepotea njia naona hadi wabeba box wako kwa line hizi.?. Click to expand... Mkuu kwema, leo tuna wageni wengi balaa
manuu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 4,064 Reaction score 10,745 May 7, 2016 #28,998 jambilo said: Mkuu kwema, leo tuna wageni wengi balaa Click to expand... Kwema sana mkuu, hadi nilihisi nimepotea njia....Mambo niaje lakin?
jambilo said: Mkuu kwema, leo tuna wageni wengi balaa Click to expand... Kwema sana mkuu, hadi nilihisi nimepotea njia....Mambo niaje lakin?
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 May 7, 2016 #28,999 Jimena said: Naunga mkono hoja Click to expand... Dadake mzima!
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 May 7, 2016 #29,000 Mbona sielewi elewi